Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Yaaaniiii 😀Ukisikia makusudi ndio haya 😬😬😬
Nimetamani sana 😋Bora mandazi au mihogoView attachment 1923551
We jamaaa utatuua!
Ndege John unakula sana nchi..ukipata ule mchongo uliokuwa unaufukizia pale Asha-rose Migiro hall si ndo itakuwa balaa??!!
Umeanza kuwa kama Lizzy eee??!!
Yule hanifikii mimi kwa kula kidogo au yawezekana tupo sawa maana hata sijamaliza hiko chakula.Umeanza kuwa kama Lizzy eee??!!
Si Mpaka ujue hujui😂😂😂.Tobaa! Siwezi kula mimi, mbupu kabisa hizi🤔😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Ulaji wako, itokee mimi kuwa Mgeni wako wiki moja tu utanichoka, kwasababu nitakutibulieni bajeti yenu.
View attachment 1923087