Uzi wa vyakula tu

Huyu kama bibi yangu vile, kuna mapishi alikua anayamudu vibaya mno, kuna hadi ndyali za kipome dah, May your soul keep resting easy Bibi😘πŸ˜ͺ
Kipome yah,aisee uzee tu unawaondoa ila walikua wakali sana kwenye mapishi na upendo kuna vyakula navikuta duniani nashangaa bibi alikua anapika pale kijijini enzi hizo.
RIP TUKUSUMAπŸ™πŸ˜₯.
 
Mashallah! mna bahati sana mliopata kupikiwa na bibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…