binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Recently nimeona nimeyachoka mapishi yote ya nyama, nimeamua kunywa supu tu, au nyama fulani hivi naikaangia vitunguu vingi naepua vitunguu vikiwa bado vibichi na siweki chochote, hii yako imenivutia. Hebu nipe recipe au ni hizi hizi za kawaida? kitunguu, garlic, nyanya, nyanya paste basi??Wali haujaiva bado View attachment 1977692
Next time nitakukaribisha kabla nile.Dah, uchokozi huu!
Safi sana, hongera.
NimePress Play imekula kwanguAsikwambie mtututu Noah tamView attachment 1976979
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana, hongera.
Sikuwa nafahamu kama wewe ni Fundi Mzuri kwenye Masuala haya.
Nilijua Kiwango chako Zege tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upo vizuri tena sana, wala hujaribu
Mkuu bado sijui.Upo vizuri tena sana, wala hujaribu
Labda ukiniambia mnapishana kwa Mapishi, lakini si kwa Ufundi. Linapokuja suala la Ufundi mbona hata wewe ni Fundi Mzuri tu.Mkuu bado sijui.
Humu kuna mafundi wanajua,hadi natamani nihamie kwao hata miezi miwili nijifunze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi, haya Magimbi?
Mkuu acha kunidanganya[emoji23]Labda ukiniambia mnapishana kwa Mapishi, lakini si kwa Ufundi. Linapokuja suala la Ufundi mbona hata wewe ni Fundi Mzuri tu.
Usijishushe