Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mwanaume kiwali hiko si ataliaKwa wanawake tu....![emoji2][emoji2]
Bora ulivyoweka tahadhari, vinginevyo tungeshindishana njaa.
Napenda sana Maboga, umenifanya nikumbuke Boga la Nazi.
Mimi naomba kile chekundu pale chini ya simu.Kwa waswahili, ila huu ugali wamenikomoa sijui. Wanauza ugali mkubwa balaa. View attachment 1978583
Ukashiba?
ππ Unapenda hela kama mfuko rafiki yangu!Mimi naomba kile chekundu pale chini ya simu.
Mimi mchagga bana siachagi hela. πππ Unapenda hela kama mfuko rafiki yangu!