Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kuna muda najinunulia tu mavitu sijui ni trendy au nini, ila hata ukiniuliza tofauti sijui kuelezea. Binafsi naona ni kaoven kadogo, ila chakula cha kwenye air frier kinatengeneza ukau kau. Mi niliinunua kwa ajili ya kukaushia karanga na korosho jana nimejaribu kwa pork na mzuzu imetoa vizuri. Tofauti ni kwamba hutumii mafuta kabisa au unatumia kidogo sana ukipenda.
Karibu dada 😊Njaaa 😋😭😭
Kwa nini usipike wewe yenye shape unayotaka??Yani wewe ndio unapika maandazi yenye shape ya diamond? Hivyo si kama visu asee?
Kibaha hapo mkuu?Aftatu tuu pilau mboga saba View attachment 2560652
Hapo safi kabisa
Ni kama ngiri na nguruwe. Wote ni haramu tu[emoji16]
Hotel gani tujivute maana yaonekana wana msosi poa
Kwa sele bongeHotel gani tujivute maana yaonekana wana msosi poa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dagaa unaweka karanga we jamaa [emoji23]Juzi hyo wali sikuukaanga
Dagaa niliwekea karanga nyingi
Maharage nilipika kama mchemsho
View attachment 2562475
Hujawahi kula dagaa waliowekwa karanga?Dagaa unaweka karanga we jamaa [emoji23]