Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20230322_145045_763.jpg
 
Hizi airfrier zina utofauti gani na oven?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna muda najinunulia tu mavitu sijui ni trendy au nini, ila hata ukiniuliza tofauti sijui kuelezea. Binafsi naona ni kaoven kadogo, ila chakula cha kwenye air frier kinatengeneza ukau kau. Mi niliinunua kwa ajili ya kukaushia karanga na korosho jana nimejaribu kwa pork na mzuzu imetoa vizuri. Tofauti ni kwamba hutumii mafuta kabisa au unatumia kidogo sana ukipenda.
 
Back
Top Bottom