hapo tui ni kikombe cha kahawa kinajaa[emoji1][emoji4][emoji38][emoji28]
Hiikitu ikikaushwa ni tamu balaaπ€£π€£π€£π€£π€£
Naomba nyama
Tugawane nusu?πNaomba nyama
NdioTugawane nusu?π
Kipindi naingia Bongo, nilikuta wenyeji wa jiji wakichukia sana kila wakisikia urojo, sijui walihisi urojo ni kitu gani! π€·πΎββοΈUrojo na boflo
Rafiki trudie wewe sio wa kunifanyia hivyo ujue!π€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈFresh and hot View attachment 2634638
Wapi mkono!! π€¦π€¦π€¦
Jifunze na wewe siku moja moja ubake! Ikiwezekana njoo tuzindue oven jipya!π€¦π€¦π€¦Heko kwa bakers π§’π₯³
Sie tutawaungisha tu πView attachment 2634728
Kipindi naingia Bongo, nilikuta wenyeji wa jiji wakichukia sana kila wakisikia urojo, sijui walihisi urojo ni kitu gani! π€·πΎββοΈ
Sahivi kila kona jioni utawakuta wao ndio wamejaa kula urojo! πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ
Iko siku mtu atakojoa tui la naziπππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ
Zile kauli za "wanakula urojo hao" siku hizi sizisikii tena, tatizo watu walikuwa hawajui urojo ni nini, ahsante.Nnavyopenda urojo mimi aiseee
Nikinunua oven nitajifunza πJifunze na wewe siku moja moja ubake! Ikiwezekana njoo tuzindue oven jipya!π€¦π€¦π€¦
Njoo uchukue kipande chako mwenyewe!!! πNdio