Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
hapo tui ni kikombe cha kahawa kinajaa[emoji1][emoji4][emoji38][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo tui ni kikombe cha kahawa kinajaa[emoji1][emoji4][emoji38][emoji28]
Hiikitu ikikaushwa ni tamu balaa🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba nyama
Tugawane nusu?🙂Naomba nyama
NdioTugawane nusu?🙂
Kipindi naingia Bongo, nilikuta wenyeji wa jiji wakichukia sana kila wakisikia urojo, sijui walihisi urojo ni kitu gani! 🤷🏾♂️Urojo na boflo
Rafiki trudie wewe sio wa kunifanyia hivyo ujue!🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️Fresh and hot View attachment 2634638
Wapi mkono!! 🤦🤦🤦
Jifunze na wewe siku moja moja ubake! Ikiwezekana njoo tuzindue oven jipya!🤦🤦🤦Heko kwa bakers 🧢🥳
Sie tutawaungisha tu 😂View attachment 2634728
Kipindi naingia Bongo, nilikuta wenyeji wa jiji wakichukia sana kila wakisikia urojo, sijui walihisi urojo ni kitu gani! 🤷🏾♂️
Sahivi kila kona jioni utawakuta wao ndio wamejaa kula urojo! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Iko siku mtu atakojoa tui la nazi😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Zile kauli za "wanakula urojo hao" siku hizi sizisikii tena, tatizo watu walikuwa hawajui urojo ni nini, ahsante.Nnavyopenda urojo mimi aiseee
Nikinunua oven nitajifunza 😂Jifunze na wewe siku moja moja ubake! Ikiwezekana njoo tuzindue oven jipya!🤦🤦🤦
Njoo uchukue kipande chako mwenyewe!!! 🙂Ndio