LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Lukolo, mapembelo, sisi ni ndosa imetiwa kwenye majivu ikitolewa hapo unamix na bumunda na maji au chai ya maziwa imeishaNimelia sana ๐น๐น
Wakinga na kupika wapi na wapi??
Umeamua kuniaibisha shemeji ๐คฃ
Hii hapa Kasie very simpleView attachment 3171764
Mapembelo vavene kaka ndeti?Lukolo, mapembelo, sisi ni ndosa imetiwa kwenye majivu ikitolewa hapo unamix na bumunda na maji au chai ya maziwa imeisha
Usisite kukiweka hapa.Mapembelo vavene kaka ndeti?
Umesahau na ka ulanzi ndio breakfast yetu ๐คฃ๐น๐น๐น
Umefanya nitamani kupika bumunda leo.
๐น๐น๐นUsisite kukiweka hapa.
huyo wa tambi tu๐คฃMm nataka nione chakula alichopika Lamomy nimpe maksi dada. Huyu dada ni mtaalamu sana wa hoja, nataka kuona utaalamu wake jikoni asijr akawa anapika midabwada