Uzi wa vyakula tu

Yaani ni hatari hii obsession na chips ni mbaya
Kuna muda nilikuwa naweza kuacha kula nikawa na nakula matunda nmeamini kila jambo na wakati wake [emoji23][emoji23]
Mm nikiweza kuja kuacha nikawa nakula matunda tu ntafurahi sana maana siwez napenda chips adi sio vizuri apo nmekula mchana saiv mate yamejaa mdomoni natamani nile tena chips [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Mimi sipendi kujipikia mwnyw ndo tatizo hapo ila ningeweza kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…