Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu dont take it serious tunaibaga google
Jana nilijiapisha ndo mwisho kula chipsi doh ila naona kiepe kinaniita tena na leo 😂
Hahaa mkuu [emoji3][emoji3]Jana nilijiapisha ndo mwisho kula chipsi doh ila naona kiepe kinaniita tena na leo [emoji23]
Yaani 😂😂
Chips hazikwepeki jaman ndio maana tunakua na vitambi sisi[emoji3][emoji3]Yaani [emoji23][emoji23]
Yaani ni hatari hii obsession na chips ni mbayaChips hazikwepeki jaman ndio maana tunakua na vitambi sisi[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nikiweza kuja kuacha nikawa nakula matunda tu ntafurahi sana maana siwez napenda chips adi sio vizuri apo nmekula mchana saiv mate yamejaa mdomoni natamani nile tena chips [emoji3][emoji3]Yaani ni hatari hii obsession na chips ni mbaya
Kuna muda nilikuwa naweza kuacha kula nikawa na nakula matunda nmeamini kila jambo na wakati wake [emoji23][emoji23]
Hahaha Mimi sipendi kujipikia mwnyw ndo tatizo hapo ila ningeweza kuachaMm nikiweza kuja kuacha nikawa nakula matunda tu ntafurahi sana maana siwez napenda chips adi sio vizuri apo nmekula mchana saiv mate yamejaa mdomoni natamani nile tena chips [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app