Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Wanapata sana Faida, 20 ni nyingi sana, ukizingatia wanatembeza vyakula tofauti tofauti. Sio wote watakula kuku na mishkaki tu wengine watakula wali, butter naan nk.hahhahaha kumbe ile ya kutembeza inakuaga hata siku za kawaida mimi hua naendaga ile iftar special ile treat ni ya kipekee kabisa sjui wanapataje faida.
Nilivyo muelewa Mimi Ni kuwa wengi hawapigi picha chakula anacho kula na kupost humu Wana download na kupost humu mtu anaona noma kupost ugali/wali na kifinyango chake kimoja Ana post picha ya kudownload Sasa kaona Kama inapoteza ladha ya uzi [emoji16][emoji2][emoji2960]Hivi mtandaoni kuna vyakula vyake? I mean mtandao unaweza kuandaa chakula? Hivi UNA habari hata ukipiga nazi picha ukaiweka hapa tayari iko mtandaoni? Au JF sio mtandao?
Jr[emoji769]
Kwani kuna sheria mkuu? tunapost chochote tu cha nyumbani cha gugo wewe post tu hujakatazwa jaribu kusoma tittle ya uzi tena.Maisha fake fake,vyakula vya ku download mtandaoni ndo vimejaa humu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo yai nimemeza mate kisado!
KaribuHilo yai nimemeza mate kisado!
Maisha fake fake,vyakula vya ku download mtandaoni ndo vimejaa humu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa sawa ila mzee Haya uwe unawaachia kina DadaMayai ya nyanya yaan iyo ni mboga ya haraka unakata hoho+kitunguu+carrot+ ndio unaweka mayai
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ujazo si glass moja, sema glass 3ππGlass moja kwa afya[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1422022
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ujazo si glass moja, sema glass 3[emoji3][emoji3]
Eti glass 1 kwa afya, sema ndoo 1 ya mtindi kwa afyaπππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afya kwanza wakati huu wa Colona![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1423933