Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

hahhahaha kumbe ile ya kutembeza inakuaga hata siku za kawaida mimi hua naendaga ile iftar special ile treat ni ya kipekee kabisa sjui wanapataje faida.
Wanapata sana Faida, 20 ni nyingi sana, ukizingatia wanatembeza vyakula tofauti tofauti. Sio wote watakula kuku na mishkaki tu wengine watakula wali, butter naan nk.
 
20190826_222953.jpg

20200223_215916.jpg
 
Hivi mtandaoni kuna vyakula vyake? I mean mtandao unaweza kuandaa chakula? Hivi UNA habari hata ukipiga nazi picha ukaiweka hapa tayari iko mtandaoni? Au JF sio mtandao?

Jr[emoji769]
Nilivyo muelewa Mimi Ni kuwa wengi hawapigi picha chakula anacho kula na kupost humu Wana download na kupost humu mtu anaona noma kupost ugali/wali na kifinyango chake kimoja Ana post picha ya kudownload Sasa kaona Kama inapoteza ladha ya uzi [emoji16][emoji2][emoji2960]

Sent from Tapatalk
 
Back
Top Bottom