Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Wanapata sana Faida, 20 ni nyingi sana, ukizingatia wanatembeza vyakula tofauti tofauti. Sio wote watakula kuku na mishkaki tu wengine watakula wali, butter naan nk.hahhahaha kumbe ile ya kutembeza inakuaga hata siku za kawaida mimi hua naendaga ile iftar special ile treat ni ya kipekee kabisa sjui wanapataje faida.