Uzi wa vyakula tu

Haya matunda yanaonekana mabaya haya sujui ladha yake itakuwaje.
Natokea dodoma ila sijawahi kuyaona tangu nizaliwe

Matamu sana sana sana, umeona bei yake nilivoweka hapo juu! doriani moja ni elfu tano mpk kumi na kwa watalii mpaka elfu 15 , ingekuwa mabaya yasingeuzwa bei hiyo watu wangeyaacha tu mpk yakaharibika
 
Utajua tu watu walaji wa kuku, ila mini kidari nakifurahia sana vimfupa na pia huwa ni kubwa, kidari kilichochomwa au kukaangwa ni kwikwi

[emoji23], kwetu vidari tunawaachia watoto, zile sehemu za kuku zenye mifupamifupa huwaga na taste nzuri sana na pia zinakolea viungo unapo marinate
 

Tayarisha kama 1M chenji inaweza ikabaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…