Uzi wa vyakula tu

Katumwa huyo maana hiyo vurugu hapo si ndogo
Aysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
 
Ohoooo mkuu huyo ni one way ticket kwao hamna namna shtuka
 

Ulihisi nini mpaka ukaongea hivyo na ku exchange chakula??
 
Ulihisi nini mpaka ukaongea hivyo na ku exchange chakula??
nahisi jamaa machale yalimcheza mwili ukasisimka
mm hapo namrudisha kwao asipokula chakula alichonitengea /tegea
na kuanzia siku hiyo ntapika mwenyewe yeye akiwa kwao /pembeni km ana kazi za kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…