Uzi wa vyakula tu

Itakuwa alikuwekea limbwata huyo.
Wanawake siku hizi wana magroup yao,huko wanajazana ujinga wote.

Kuna group niliwahi kujiunga miaka ya nyuma (2015),ilikuwa kwa ajili ya urembo na ususi..kujifunza kazi za saluni.Mara likabadilishwa yakaanza kutumwa madude hayo jamani..yaani niliyoyaona humo[emoji134].
Wanaume muwe mnasali,kuna wanawake wanatengeneza wanaume jamani.

Hebu jaribu kuangalia simu yake, lazima ana hayo magroup
 
weka basi vyakula vilivyopikwa tujue hutaki mchezo kwenye mapishi
Kwani hivyo vimeteremsha chief!?
Nimepika mwenyewe kwa mkono wangu, kwa ushahidi kabisa nenda page za mwanzoni mwanzoni huko mwa uzi
 
Ujinga mtupu mtu unaweka limbwata ili iweje huo ni uchawi.
 
Ujinga mtupu mtu unaweka limbwata ili iweje huo ni uchawi.
Sasa hilo group wamama waliyokuwa wanajadili yaani utachoka..yaani ule ni zaidi ya uchawi,hapo wanaroga hadi michepuko,..tena wanatoa hadi mirejesho.
Wanajadili namna ya kutengeneza hayo malimbwata.
Nikaona nimekosea njia[emoji38], ukiwaambia hayo mambo si mazuri wanasema subiri ukue uolewe halafu utaona[emoji23][emoji23].

Yaani lazima alimuwekea limbwata.
Asingekimbilia kupasua sahani bure.
 
Kwani hivyo vimeteremsha chief!?
Nimepika mwenyewe kwa mkono wangu, kwa ushahidi kabisa nenda page za mwanzoni mwanzoni huko mwa uzi
Hapana sisi kabila letu hayo matunda pori sio chakula, nimeiona Post #1 ikitaka vyakula sikujua kumbe mnaweza alikwa mahali kwa dinner mkalishwa hivyo na mpishi mkuu?
matunda kwenye miti ungeyaacha NI USHAURI TU
 
Kwani hivyo vimeteremsha chief!?
Nimepika mwenyewe kwa mkono wangu, kwa ushahidi kabisa nenda page za mwanzoni mwanzoni huko mwa uzi
Hongera sana kwa mapishi Mkuu, mm ni hayo yaliyoko shambani yanajaza kwenye kasimu kangu ka Tecno, weka mahanjumati NI KWA USHAURI TU
 
Hapana sisi kabila letu hayo matunda pori sio chakula, nimeiona Post #1 ikitaka vyakula sikujua kumbe mnaweza alikwa mahali kwa dinner mkalishwa hivyo na mpishi mkuu?

matunda kwenye miti ungeyaacha NI USHAURI TU
Ndugu, hayo sasa unatupangia wewe, humu watu wanapost hadi picha ambazo wamedownload. Wala sio tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…