Chief, yatajaa vipi kwenye simu yako bila ya kusave mwenyewe? Si lazima usave unaweza ukayapita kimya kimya tu!!Hongera sana kwa mapishi Mkuu, mm ni hayo yaliyoko shambani yanajaza kwenye kasimu kangu ka Tecno, weka mahanjumati NI KWA USHAURI TU
punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?Ndugu, hayo sasa unatupangia wewe, humu watu wanapost hadi picha ambazo wamedownload. Wala sio tatizo.
Hongera sana kwa mapishi Mkuu, mm ni hayo yaliyoko shambani yanajaza kwenye kasimu kangu ka Tecno, weka mahanjumati NI KWA USHAURI TUKwani hivyo vimeteremsha chief!?
Nimepika mwenyewe kwa mkono wangu, kwa ushahidi kabisa nenda page za mwanzoni mwanzoni huko mwa uzi
Unaonekana umekuja na yako! Pole sana!punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?
mbona chakula hatujawapangiia, Member ukiingia anzia post # 1 inasemaje?
punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?Ndugu, hayo sasa unatupangia wewe, humu watu wanapost hadi picha ambazo wamedownload. Wala sio tatizo.
Pole sana! Unajua kwanini nasema pole sana? Basi pole sana!punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?
mbona chakula hatujawapangiia, Member ukiingia anzia post # 1 inasemaje?
Duh kwahiyo kila alieolewa lazima awe na limbwata[emoji3]Sasa hilo group wamama waliyokuwa wanajadili yaani utachoka..yaani ule ni zaidi ya uchawi,hapo wanaroga hadi michepuko,..tena wanatoa hadi mirejesho.
Wanajadili namna ya kutengeneza hayo malimbwata.
Nikaona nimekosea njia[emoji38], ukiwaambia hayo mambo si mazuri wanasema subiri ukue uolewe halafu utaona[emoji23][emoji23].
Yaani lazima alimuwekea limbwata.
Asingekimbilia kupasua sahani bure.
Pole sana!!punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?
mbona chakula hatujawapangiia, Member ukiingia anzia post # 1 inasemaje?
Ukiangalia hivyo pia sidhani kwa mujibu wa kabila lako mnatumia supu ya mende, mishkaki ya nyoka, pweza na vyote hivyo vimepostiwa ni nini maoni yako kwa wale ambao hawatumii?punguzeni basi maana sio lengo la mleta Mada, kwanini msianzishe Mada ya matunda ya porini?
mbona chakula hatujawapangiia, Member ukiingia anzia post # 1 inasemaje?
Asante sana kwa pole yako nimeipokeaPole sana!!
Asante sana kwa pole yako nimeipokea
mm nampa pole aliyewekea vitu kwenye sahani yake ya chakula ugali kwa samaki na ikavunjwa, sasa wakati anaelezea alivyoshiba ninaletewa matunda pori, ndio maana nikaomba yasubiri kwanza tupate majibu ya chakula chenye limbwata au km vipo vingine, sasa napewa pole na matunda pori
nasema ASANTE lkn ninyi wapishi sio wazuri mnatuchanganyia mada
rudi kwenye lengo la mleta Mada au wachangiaji wenzako, ww unachomeka vitu vingine kabisa

Mate yamechuruzika.ngoja nikapike aise
Sijui sasaDuh kwahiyo kila alieolewa lazima awe na limbwata[emoji3]
Akili nyingine ni za ajabu sana.
Tangu nibadili username naonekana mgeni kwenye huu uzi aisee!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mate yamechuruzika.ngoja nikapike aise
Sasa Kwanini umebadili na wewe..nilipoona hizo fegi hapo nikajikuta nimeshakupata tayari😅Tangu nibadili username naonekana mgeni kwenye huu uzi aisee!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Eti pilau bubu 😅😅umenikumbusha mama angu aisehPilau bubu 😁🙈🙈