Yes.[emoji3][emoji3][emoji3] labda hapendi harufu mikononi.
Vipi mkuu ulikisoma kile kitabu chako cha 'The New Tycoons'
Ni story ndefu ila inshort kuna mambo yalitokea Tz ambayo maamuzi sahihi ni kumpa talaka ila busara zaidi ilitumika nikamrudisha Nairobi ila nikaambiwa niwe makini nae sana hasa kwenye maswala ya chakula tena niliambiwa hata chakula chake nisile. Nilifanya hvyo kwa siku 2 za mwanzo, siku zilizofata nikawa nakula home ila anatutengea msosi pamoja na mdgo wangu coz mtu tunaorudi home yy anakuwa kashakula, sasa baada ya week moja ivi kupita akabadilisha utaratibu (ambayo ni Jana) akatutengea chakula kila mtu sahani yake, tena jana alichangamka sana nikaona tu kuna namna fulan ndio akili ya Ku exchange sahani ikanijia
Pole kwa kulowa mdomo!🏃🏃🏃Mate yamechuruzika.ngoja nikapike aise
Sawa bhana.Pole kwa kulowa mdomo!🏃🏃🏃
Salama kibonge wangu mpendwaSawa bhana.
Habari ya asubuhi lakini
😁😁Salama kibonge wangu mpendwa
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ndiyo nini umenikaribisha kwa sauti ndogo mpaka sijasikia nimepitwa hivi hivi, thanks baby mama kwa kunijali
Hapo nyama za kutosha [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] na parachichi, halafu hujanitumia ile list aisehhhh, hebu fanya maajabu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umeharibu kweny avocado, mie sipend kabisaaah hat kuyaona nahis kutapika tyuuh.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Limbwata tyuu lazima alitaka akupe, au lah bas n sumu. Mmmmh poleeeeeehAysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
Woyoooooopph mambo ya home kwetu haya.
Duuuuuh pole sanaaah lol,Ni story ndefu ila inshort kuna mambo yalitokea Tz ambayo maamuzi sahihi ni kumpa talaka ila busara zaidi ilitumika nikamrudisha Nairobi ila nikaambiwa niwe makini nae sana hasa kwenye maswala ya chakula tena niliambiwa hata chakula chake nisile. Nilifanya hvyo kwa siku 2 za mwanzo, siku zilizofata nikawa nakula home ila anatutengea msosi pamoja na mdgo wangu coz mtu tunaorudi home yy anakuwa kashakula, sasa baada ya week moja ivi kupita akabadilisha utaratibu (ambayo ni Jana) akatutengea chakula kila mtu sahani yake, tena jana alichangamka sana nikaona tu kuna namna fulan ndio akili ya Ku exchange sahani ikanijia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limbwata la mjini ndo km hilo had unaumbuka,Itakuwa alikuwekea limbwata huyo.
Wanawake siku hizi wana magroup yao,huko wanajazana ujinga wote.
Kuna group niliwahi kujiunga miaka ya nyuma (2015),ilikuwa kwa ajili ya urembo na ususi..kujifunza kazi za saluni.Mara likabadilishwa yakaanza kutumwa madude hayo jamani..yaani niliyoyaona humo[emoji134].
Wanaume muwe mnasali,kuna wanawake wanatengeneza wanaume jamani.
Hebu jaribu kuangalia simu yake, lazima ana hayo magroup
Wee cc ndoa chungu, vile hujawahi shuhudia wallah,Sasa hilo group wamama waliyokuwa wanajadili yaani utachoka..yaani ule ni zaidi ya uchawi,hapo wanaroga hadi michepuko,..tena wanatoa hadi mirejesho.
Wanajadili namna ya kutengeneza hayo malimbwata.
Nikaona nimekosea njia[emoji38], ukiwaambia hayo mambo si mazuri wanasema subiri ukue uolewe halafu utaona[emoji23][emoji23].
Yaani lazima alimuwekea limbwata.
Asingekimbilia kupasua sahani bure.
ningeongea kitu Ila wacha ninyamazeNahisi anaitafuta Namanga sasa hivi
hakika hapa nipo njiani naenda mloga mtoto wa mtuWee cc ndoa chungu, vile hujawahi shuhudia wallah,
Subiri utakuja kunambia me.
Ahsanteeeee mama mjengo, hakika nimewahi usiniachie peke yangu tule wote, ubarikiwe sanaUsichelewe tena tafadhali[emoji8]...Playlist ntakuekea badaeeView attachment 1649808
Tabata yote mpaka kinyerezi kuna vijiwe vinafanya maajabu ya misosi, kazimoto ile mishikaki ya nguruwe ni hatari lainiii na ni mitamu