Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ni story ndefu ila inshort kuna mambo yalitokea Tz ambayo maamuzi sahihi ni kumpa talaka ila busara zaidi ilitumika nikamrudisha Nairobi ila nikaambiwa niwe makini nae sana hasa kwenye maswala ya chakula tena niliambiwa hata chakula chake nisile. Nilifanya hvyo kwa siku 2 za mwanzo, siku zilizofata nikawa nakula home ila anatutengea msosi pamoja na mdgo wangu coz mtu tunaorudi home yy anakuwa kashakula, sasa baada ya week moja ivi kupita akabadilisha utaratibu (ambayo ni Jana) akatutengea chakula kila mtu sahani yake, tena jana alichangamka sana nikaona tu kuna namna fulan ndio akili ya Ku exchange sahani ikanijia

duuh pole sana mrudishe tu Tz hakuna namna
 
Aysee acha tu, alikuwa kitchen baada ya kututengea msosi na dogo, kila siku tunakula pamoja ila jana katenganisha. Mm nikajisemea "Kinga ni bora kuliko tiba" (huku nikimwambia dogo achukue chakula changu na mm nile chake) kumbe alinisikia, baada ya ku exchange alikuja mbio kwa hasira akafanya hao aliyoyafanya.
Limbwata tyuu lazima alitaka akupe, au lah bas n sumu. Mmmmh poleeeeeeh
 
Ni story ndefu ila inshort kuna mambo yalitokea Tz ambayo maamuzi sahihi ni kumpa talaka ila busara zaidi ilitumika nikamrudisha Nairobi ila nikaambiwa niwe makini nae sana hasa kwenye maswala ya chakula tena niliambiwa hata chakula chake nisile. Nilifanya hvyo kwa siku 2 za mwanzo, siku zilizofata nikawa nakula home ila anatutengea msosi pamoja na mdgo wangu coz mtu tunaorudi home yy anakuwa kashakula, sasa baada ya week moja ivi kupita akabadilisha utaratibu (ambayo ni Jana) akatutengea chakula kila mtu sahani yake, tena jana alichangamka sana nikaona tu kuna namna fulan ndio akili ya Ku exchange sahani ikanijia
Duuuuuh pole sanaaah lol,
 
Itakuwa alikuwekea limbwata huyo.
Wanawake siku hizi wana magroup yao,huko wanajazana ujinga wote.

Kuna group niliwahi kujiunga miaka ya nyuma (2015),ilikuwa kwa ajili ya urembo na ususi..kujifunza kazi za saluni.Mara likabadilishwa yakaanza kutumwa madude hayo jamani..yaani niliyoyaona humo[emoji134].
Wanaume muwe mnasali,kuna wanawake wanatengeneza wanaume jamani.

Hebu jaribu kuangalia simu yake, lazima ana hayo magroup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limbwata la mjini ndo km hilo had unaumbuka,
Chezea la kijijini weyeeeeh, mtu ananata km ulimbo tyuuuuh.
 
Sasa hilo group wamama waliyokuwa wanajadili yaani utachoka..yaani ule ni zaidi ya uchawi,hapo wanaroga hadi michepuko,..tena wanatoa hadi mirejesho.
Wanajadili namna ya kutengeneza hayo malimbwata.
Nikaona nimekosea njia[emoji38], ukiwaambia hayo mambo si mazuri wanasema subiri ukue uolewe halafu utaona[emoji23][emoji23].

Yaani lazima alimuwekea limbwata.
Asingekimbilia kupasua sahani bure.
Wee cc ndoa chungu, vile hujawahi shuhudia wallah,
Subiri utakuja kunambia me.
 
Kinyerezi
IMG-20201214-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom