Uzi wa vyakula tu

Hawa jamaa mishkaki yao ilikuwa mitamu sana, kumbe nyama ya mbwa ina radha nzuri hivi.
 
Unatupotezea stimu za mahanjumati.

Linyofoe ilo lipicha.
 

Sema dada ANGEL kwanini usiwe unaweka na somo la misosi, yaani namna ya kuandaa msosi flani. Mahitaji, matayarisho n.k

Unajua watu kama sisi ni food lovers, na tunapenda misosi amazing ya kibunifu na hiyo unayotupia humu.

Naomba uwe unatupa na somo namna ya kuandaa. Ikiwezekana anzisha hata group la mapishi huko whatsap. #CookWithAngel[emoji491][emoji490][emoji488][emoji1642][emoji1641][emoji487][emoji3053]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…