Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Mchele ndo unaitwa jollof au hayo mapishi yake? Ushamba huu[emoji21]Jollof rice..Jumapili tulivu kabisa. Karibuni View attachment 938447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchele ndo unaitwa jollof au hayo mapishi yake? Ushamba huu[emoji21]Jollof rice..Jumapili tulivu kabisa. Karibuni View attachment 938447
Usinianze tafadhali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha nimependa gia yako ya kuingia
[emoji38][emoji38][emoji38]Usinianze tafadhali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Mzee nanasi halimenywi hivyo tena kwa kulishika shika na mkono wa chooni
Yani hapo umeharibu kabisa kula tu mwenyewe
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]Jitahidi kutumia glass ambazo hazijapasuka juu kwenye kingo za mdomo
Au lah tumia kikombe cha plastick tu
Hivi sahz kwenye huu uzi unafanyaje...njaa ya usiku eeWe jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina pakwenda saizi. Usingizi nao sinagaHivi sahz kwenye huu uzi unafanyaje...njaa ya usiku ee
Nikajua una njaaSina pakwenda saizi. Usingizi nao sinaga
Hapana. Wewe je ni njaa imekufanya uwepo humu mpaka saa hii?Nikajua una njaa
Hapana me apa nmekuona sahv nilikua uko kwingine nkasema nkuulize rafiki angu kimekusibu nn hujala auHapana. Wewe je ni njaa imekufanya uwepo humu mpaka saa hii?
[emoji23][emoji23][emoji23] hebu lala bana saizi mda umeenda sana. Tusichafue uzi kwa maneno mengi bila msosiHapana me apa nmekuona sahv nilikua uko kwingine nkasema nkuulize rafiki angu kimekusibu nn hujala au
Poa[emoji23][emoji23][emoji23] hebu lala bana saizi mda umeenda sana. Tusichafue uzi kwa maneno mengi bila msosi
Dagaa mbona wanahesabikaKula chakula kama dawa.View attachment 938754
Hivyo vipande vikubwa kwenye bakuli ni vininiNa mchana wa leo umebahatika kua hvi.View attachment 939356
Mapishi yake. Ni msosi maarufu sana Nigeria kama ilivyokwetu pilauMchele ndo unaitwa jollof au hayo mapishi yake? Ushamba huu[emoji21]
Mapishi. Mchele wowote [emoji1]Mchele ndo unaitwa jollof au hayo mapishi yake? Ushamba huu[emoji21]
Vipezwa hvyo.Hivyo vipande vikubwa kwenye bakuli ni vinini
Nilikua nikuulize swala la uzushi lkini bora nibaki nalo.Mzuzu ya kuchemsha +uji wa dona mixa mtindi for bfastView attachment 939995