Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji847][emoji847][emoji847]
1202019.jpg
 
Lizy unaweka nini kwenye kalmati? mimi last two weeks nilipika niliweka hamira tuu, aiseee zilikula sana mafuta yangu had nilijuta na zikawa zinakinai kooni, itakua nilikosea wapi?
Labda unga ulikuwa mlaini sana MNANSO
Embu walk me through you process nikuambie tunapotofautiana....
 
Nilikoroga unga na maji ya vuguvugu na hamira, unga ulikua sio mzito sana
Sababu ambayo naweza kuifikiria haraka haraka ni kwamba pengine unga haukuwa umeumuka vizuri??🤔Yangu ukiyabonyeza yanabonyeka sana....ndani yameachana.
Alafu huwekagi mafuta kidogo wakati wa kukanda??? Sijawahi kuandaa bila kufanya hivyo so maybe that might also be a reason.😏😏
 
Back
Top Bottom