Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39][emoji39]nibakshie[emoji177]From Baboo cafe. ZnzView attachment 1932266
Na huyo ndege ni kitoweo au ni picha ya kwenye sahani?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Tumia unga wa Sembe!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Zamani sana kuna unga fulani nlikua nanunua supermarket huku zenji. Upo spiced tayari. Yaani huo ulikuwa bomba sana. Wanakuwa very crispy.
Ila sasa siuoni tena hata madukani. Naishia kutumia bread crumbs ya kawaida tu hata siwapatii sana.
😁😁😁 Nna damu ya kipare so nala kwa pichaNa huyo ndege ni kitoweo au ni picha ya kwenye sahani?
Wewe Lizzy nimekuvumilia sana humu ndani , nimechoka kwa kweli. Picha zako mb nyingi afu msosi kidogo. Uwe unajaza basi hiyo sahani hata [emoji16]
Hazijatimia lakiniUkiskiya ugali mboga 7, huu hapa!View attachment 1932358
🤣🤣🤣🤣 pole sana ila watu wa humu hamnitakii mema nyie 😒😒 Mnataka ñinone kama ng'ombe wa sherehe bana??🙄🙄Wewe Lizzy nimekuvumilia sana humu ndani , nimechoka kwa kweli. Picha zako mb nyingi afu msosi kidogo. Uwe unajaza basi hiyo sahani hata [emoji16]
Wewe glass ya maziwa huoni?Ukiskiya ugali mboga 7, huu hapa!View attachment 1932358
Okhkhokh!!!! nimepatwa na kichuchefu.Karibuni Mishikaki ya Nyoka.
![]()
Simply, mimi huandaa samaki wangu ambao ni fillet tupu na kuwakata vipande vyembamba vyembamba kama vidole. Then naweka spice yoyote nayopenda kwa wakati huo.Naomba unielekeze namna ya kuandaa fish finger, nazipenda balaa!!
Rahisi sana huu Mlo, hasa kwa sisi tusiojua kupika.Recipes pls [emoji848]
Kiongozi kutafuna Mifupa ya Kuku hasa hawa Kuku wa kisasa, ni kujitafutia Magonjwa.Mkuu hicho kipaja hujakitendea haki