Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile inayoitwa cowboy au ipo? Ntazipika hii weekend aisee.Add maziwa ya unga/kandia siagi kidogo
Hapo kwenye size sasa, mi huwa kg 1 natoa chapati 13,niko sawa kweli?Tips: 1; Akandie butter au margarine yoyote, dough liwe laini lakini lisilonata mikononi wala sehemu ya kusukumia (tunasema dough limeiva)
2; Asikate chapati ndogo ndogo/ nyembamba, Chapati zake ziwe zina kauzito fulani, sio kama zile za kwa mama niwekee.
3; achomee butter au hata mafuta ya kawaida, ila pan inaweza mbadilishia matokeo, atafute pan moja nzito na non stick.
Vikorombwezo vingine kama kukandia maziwa au nazi havibadili muonekano bali zinaongeza ladha. Btw, Hizo chappo kwenye picha mwenye nazo hongera zake, mimi zangu ni nzuri lakini sio kama hizo za kwenye picha nadhani nimeshaweka picha humu za chappo moja au mbili.
Karibu mkuu 😄We mzee ukorofi huoooo!
Of course chakula si ndio kinaliwa?Ina-apply kwenye chakula tu 😁
ukitoka apo unanukia vitunguu kuliko kisu kilichotumiwa kuvikatia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi kama za home natoa hata 9, nadhani mwisho toa 11.Hapo kwenye size sasa, mi huwa kg 1 natoa chapati 13,niko sawa kweli?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Kusini kunogaVenom power [emoji1534]
Shukrani.Mi kama za home natoa hata 9, nadhani mwisho toa 11.
Hapo kwenye size sasa, mi huwa kg 1 natoa chapati 13,niko sawa kweli?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app