Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Naona unaandaa kibomuKaribuni sana
View attachment 3168373
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unaandaa kibomuKaribuni sana
View attachment 3168373
Watu mnakula asee 🥱
Chocolate balls na brownie sio?View attachment 3169346
Huu msimu ukiisha, dentists watakuwa busy sana....🤔
View attachment 3169347
Raha jipe mwenyeweee 😋😋
View attachment 3169348
Utamu utamu 😘.
Chocolate balls na brownie sio?
Hapo uwe na kisamvh pembeni na mtindi...acha kabisaaaView attachment 3169338
Ikawa asubuhi...
Ikawa jioni....
mzabzab njoo, leo siku ya matobolwa yameiva. Ukuje na sahani yako 😋.
Oven baked sweet potatoes.
Mm nataka nione chakula alichopika Lamomy nimpe maksi dada. Huyu dada ni mtaalamu sana wa hoja, nataka kuona utaalamu wake jikoni asijr akawa anapika midabwadaHumu hakuna kutafuta maksi, uzi unasema...
Uzi wa Vyakula tuu na si lazima upike.
Ukiikuta kwa jirani piga picha posti, iko mtandaoni screenshot posti, hata ukiwa gengeni piga picha nyanya na vitunguu posti mradi ni uelekeo wa chakula.
Usiwatoe watu nje ya mstari kuwa wanatafuta maksi, hapana.
Mshana Jr hakumaanisha hivyo.
Hapo uwe na kisamvh pembeni na mtindi...acha kabisaaa
Wee wanifunga kamaba mbona kibamia changu hakikui pamoja na huo mchanganyiko specialHii kombinenga uliyoiandika hapa inakuza kibamia kuwa hogo la jang'ombe...!!???😆😆😆😆
Ama namnanya kusafisha njia ya haja kubwa kwa kutumia gesi asilia...🤣🤣🤣🤣🤣.
Mtindi ulikuwepo.
Nimelia sana 😹😹
Acha kumkorofisha bibi kasie mahaba.!!Mm nataka nione chakula alichopika Lamomy nimpe maksi dada. Huyu dada ni mtaalamu sana wa hoja, nataka kuona utaalamu wake jikoni asijr akawa anapika midabwada
Wee wanifunga kamaba mbona kibamia changu hakikui pamoja na huo mchanganyiko special
Una matani weweItabidi ukifunge manati yaning'inie kwa chini halafu weka jiwe kuongeza uzito ili kirefuke kuelekea chini kwa kuvutwa na jiwe la manati 🤪🤪🤪😆.
Una matani wewe