Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20241204_210407.jpg

Huu msimu ukiisha, dentists watakuwa busy sana....🤔

20241204_210530.jpg

Raha jipe mwenyeweee 😋😋

20241204_211600.jpg

Utamu utamu 😘.
 
Ina mana Lamomy kupika hujui au? Mbona huposti humu tukupe maksi kama Kasie

Humu hakuna kutafuta maksi, uzi unasema...
Uzi wa Vyakula tuu na si lazima upike.

Ukiikuta kwa jirani piga picha posti, iko mtandaoni screenshot posti, hata ukiwa gengeni piga picha nyanya na vitunguu posti mradi ni uelekeo wa chakula.

Usiwatoe watu nje ya mstari kuwa wanatafuta maksi, hapana.

Mshana Jr hakumaanisha hivyo.
 
Mm nataka nione chakula alichopika Lamomy nimpe maksi dada. Huyu dada ni mtaalamu sana wa hoja, nataka kuona utaalamu wake jikoni asijr akawa anapika midabwada
 
Hapo uwe na kisamvh pembeni na mtindi...acha kabisaaa

Hii kombinenga uliyoiandika hapa inakuza kibamia kuwa hogo la jang'ombe...!!???😆😆😆😆

Ama ni namna ya kusafisha njia ya haja kubwa kwa kutumia gesi asilia...🤣🤣🤣🤣🤣.

Mtindi ulikuwepo.
 
Hii kombinenga uliyoiandika hapa inakuza kibamia kuwa hogo la jang'ombe...!!???😆😆😆😆

Ama namnanya kusafisha njia ya haja kubwa kwa kutumia gesi asilia...🤣🤣🤣🤣🤣.

Mtindi ulikuwepo.
Wee wanifunga kamaba mbona kibamia changu hakikui pamoja na huo mchanganyiko special
 
Mm nataka nione chakula alichopika Lamomy nimpe maksi dada. Huyu dada ni mtaalamu sana wa hoja, nataka kuona utaalamu wake jikoni asijr akawa anapika midabwada
Acha kumkorofisha bibi kasie mahaba.!!

Halafu sio midabwada ni mauzauza napikaga 🤣
Ni huzuni tupu, nikipata wageni bila ya dada sitoboi mwenzio 😹😹
 
Una matani wewe

Aahahahahaa sio matani kweli tena,
Ngoja siku ntanunua bamia nizipike nipate taswira ya kibamia mdomoni....😅😅😅.

Wacha nirejee kwenye kutupia madikodiko niliyotupia tumboni...
 
Back
Top Bottom