iPhone imeshuka thamani sio kama miaka mitatu iliyopita,, watu siku hizi hawana shobo nazo,, k’koo kibao tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
eaUngejua iPhone ndo simu za kariakoo usingeandika hio line.
Kama unataka vitu unique ongelea google pixel au simu nyngne zinazokuja bongo kwa oda tu
Ngoja nikae pembeni nisubiri wa wenye tekinoHabari wajanja wa mujini,
Kama una cm ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.Please kama una cm yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine cm za kariakoo pumzikeni kwanza