Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.

Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
 
Wenye iphone tu...[emoji16][emoji16][emoji16] wengine hamtakiwiiii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mag..u are using TECNO Case Dismissed - Case Closed Judge Judy ...
 
Please tumesema kama huna iPhone usichangie mbona naona wenye techno bado mnachangi au uzi haujaeleweka
Ungejua iPhone ndo simu za kariakoo usingeandika hio line.

Kama unataka vitu unique ongelea google pixel au simu nyngne zinazokuja bongo kwa oda tu
ea
 
Simu ya kwanza kua na 3g (iPhone 3gs)
Simu ya kwanza kua na App Store (iPhone 3gs)
Simu ya kwanza kua na voice assistant (iphone 4s)
Simu ya kwanza kua na 3D maps (iPhone 5)
Simu ya kwanza kua na Fingerprint (iPhone 5s)
Simu ya kwanza kutoa flagship mbili kwa wakati mmoja (iPhone 6 & 6+)
Simu ya kwanza kua na 3D touch (iphone 6s & 6s+)
Simu ya kwanza kua na Camera mbili nyuma (iPhone 7plus)
Mbali na kuleta rangi tofauti tofauti kwenye matoleo ya simu tusisahau pia ndio simu pekee yenye ulinzi wa data zako zisidukuliwe kirahisi.

Android wana miujiza yao pia wakiongozwa na Samsung.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wajanja wa mujini,
Kama una cm ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.Please kama una cm yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine cm za kariakoo pumzikeni kwanza
Ngoja nikae pembeni nisubiri wa wenye tekino
 
Back
Top Bottom