Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Abiria kupanda daladala bila nauli, akitozwa nauli anasema atalipa anaposhuka, akishuka anapiga simu kwake aletewe nauli kituoni ili alipie. Hii nimeikuta hukooo kwa kabila Fulani hivi....!
 
Siku ya kwanza Mzee ana mkata kofi Bimkubwa halafu kesho yake wakaamka wanacheka vizuri tu. Nilikuwa naamini nikiamka nitaona wamenuniana!..
[emoji23][emoji23][emoji23]wazee wetu wa zamani wana siri kubwa xn ya kufanikiwa ktk relation zao....sio kizazi chetu cha .com
 
Ilikuwa miaka ya 90s hivi tukiwa bado vijana wadogo watatu tunapitapita kwenye mishemishe zetu maeneo ya makaburini. Pembeni kidogo ya makaburi hayo kulikuwa na mti(mkwaju) mmoja mkubwa hivi ilikuwa mida ya saa 7 mchana jua kaliii kukiwa kumetuliiaa tulii, hakukuwa na mtu mwingine zaidi yetu.
Wenyewe tunapita hatuna hili wala lile, wakati tunakaribia kuufikia ule mti tulisikia sauti moja ya ajabu sana tena kubwaa kama mtu anayezungumza kwenye mic ikiwa inajirudiarudi ikituuliza "NYINYI WATOTO MNATAFUTA NINI?"
Hakuna hata aliyemgeukia mwenzake kumuuliza kitu, tulitoka nduki ya hatari ndani ya mda mfupi tulikuwa tupo mtaa wa tatu ndio tunaanza kuulizana imekuwaje.
Tangu siku hiyo sijawahi kupita karibu na eneo hilo
 
Hallo hi kitu inaelekea ndio mtindo yuko mmoja huku nae hajaolewa alipotelewa na ki mbwa kaja mpaka home kuulizia ,
 
ha ha ha
 
Abiria kupanda daladala bila nauli, akitozwa nauli anasema atalipa anaposhuka, akishuka anapiga simu kwake aletewe nauli kituoni ili alipie. Hii nimeikuta hukooo kwa kabila Fulani hivi....!
Warangi?
 
Jamaniii, huyo mtiziii kweli?
 
Siku moja nipo Home nimetulia nikaona Moshi ukitoka ardhini nikajiuliza unatoka wapi hakuna hata mahali wamechoma mabiwi au chochote maana ilikuwa katika uwanja wetu na umefagiliwa vizuri hadi leo sikujua ni nini!
 
Alikua ni ke au me
 
Watu wa fiziko jogi watakua na majibu labda
 
Siku moja nipo Home nimetulia nikaona Moshi ukitoka ardhini nikajiuliza unatoka wapi hakuna hata mahali wamechoma mabiwi au chochote maana ilikuwa katika uwanja wetu na umefagiliwa vizuri hadi leo sikujua ni nini!
Volcano ilitaka kulipuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…