Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Huyo Paka itakua owner wake alikua pale msikitini, alienda kumsubiri ndio maana akawa hataki kuondoka, kuhusu kutoogopa jiwe ni sababu Paka wanaofugwa hua sio waoga kama Paka wa porini, alipoona hatari inamjia akaamua kuwafukuza na ndio maana mliporudi mkamkuta pale pale.

So relax hakuna mauza uza yoyote.
 
mimi napenda mno paka ila huyo alinitishia sijawahi kufuga so sjui wanavyokuwa bora umenieleza jambo jipya nimelieka akilini, asante
 
Kuona suruali kubwaaa lile la like jeje kwakweli niliona kitu sio cha kawaida 🤪🤦 na nalog off
 
Nimecheka hadi baas lol, [emoji23][emoji23][emoji23] ila dea wee nae mgomvi nan alikuambia uingie huku hujakaribishwa?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka hadi baas lol, [emoji23][emoji23][emoji23] ila dea wee nae mgomvi nan alikuambia uingie huku hujakaribishwa?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Lol,
Niliona si jambo la kawaida kutokumuona jirani yangu, nikaona niingie kumjulia hali nikapambana na surprise ya nguvu.
 
Mwanaume kulia hadi kugala gala chini, kisa kuibiwa hela laki 7. Huwa nikimuangalia nakumbuka tukio huwa nacheka hadi baas.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Siku moja ktk maisha miaka zaid ya 10 imepita nimekaa zangu mahali nataka kula ugali wagu nimepika mwenyewe mara simu inaita kupokea napewa hbr ya harusi na mdada mmojahv yani yuko kwenye harusi nani anaolewa kuambiwa sikuamini sababu nilijiuliza kwa nn asiniambie na ni mtu wa krb sana na mm hata ningemchangia lazma cha kishangaza zaid nikaanza kuwaza nani anamuoa kimya kimya kias hicho gafla nikamuwaza jamaa mmoja hv nikakaa zangu kimya baada ya siku mbili hv napata hbr aliye muoa ndio yule niliyemuwaza daah nilshtuka sana nikajiuliza tena kwa nn nikimuwaza yule jamaa sababu sijawah muona nae kwamba nikamhisi jamaa mwenyewe sina mazoea nae ni salam tukwisha mpaka leo najiuliza ilikuwaje akanificha na kwa nn nilimuwaza yule jamaa na ikawa kweli sipati jibu nahata sijawah muuliza chochote kuhusu ukimya wake na bado tunawasiliana vzur tu had leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…