Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Nawaza tu na sina uhakika, hizo garama za uzinduzi wa hilo daraja ni sehemu ya garama za ujenzi au ni nje ya garama za ujenzi. Kama zipo nje ya garama za ujenzi basi kuna shida mahali.
Ni makadirio yangu ya hesabu za shule ya msingi; Pesa hizo zingejenga nyumba za walimu 20 kule vijijini lkn Mhhh zinatumika kwa siku mbili na wenye nchi,
MUNGU BARIKI KWAO NA AZIZ K
 
Usiondoke JF

Rais wa JMT Dr Samia anafungua hili daraja Leo
Tutakuletea matukio yote

Ahsanteni sana 🇹🇿
JPM oyeee
images (2).jpeg
 
Hiyo ni sehemu ya kampaini ya uchaguzi huenda gharama italipwa na chama tawala.
 
Usiondoke JF

Rais wa JMT Dr Samia anafungua hili daraja Leo
Tutakuletea matukio yote

Ahsanteni sana 🇹🇿
Hakika wasingezuia shughuli za No reform No Election wangekosa views kabisa huo ndio ukweriiiiiii
 
Back
Top Bottom