Sisi Iringa hatumdai 😁🙏Alofia nchi kivipi wakati alitoroka maisha kwa uzembe wake? Bloody komwe!
Rais ni taasisiMama anajipatia maujiko kwenye kazi za wanaume 🔥
Kigaila, Mwalimu na Mrema wanawakilishaChadema na pinga pinga wengine wote wapigwe marufuku kupita darajani hapo
Wangekuwa na akili wangekuelewa unamaanisha nini, lakini kwa vile ndani ya hilo chama ni vichwa box watajipitia tu.Nawaza tu na sina uhakika, hizo garama za uzinduzi wa hilo daraja ni sehemu ya garama za ujenzi au ni nje ya garama za ujenzi. Kama zipo nje ya garama za ujenzi basi kuna shida mahali.
Ni makadirio yangu ya hesabu za shule ya msingi; Pesa hizo zingejenga nyumba za walimu 20 kule vijijini lkn Mhhh zinatumika kwa siku mbili na wenye nchi,
MUNGU BARIKI KWAO NA AZIZ K
Mnamdai kimyakimya.Ile lami ya Dodoma to Iringa via Nyang'oro ni utumbo wa lidembwe!Naiwona wiinya!Sisi Iringa hatumdai 😁🙏
Mzee wao wa ubwawa kashotka KCMC?Kigaila, Mwalimu na Mrema wanawakilisha
Acha utapeli muongo mkubwa wewe.1980 tukiwa na Shujaa pale Mfaranyaki Bar kihesa alisema anatamani Iringa-Dodoma kupitia Mtera iwe Lami tupu
Mungu wa mbinguni aliiona nia yake thabiti na 1995 akawa Naibu Waziri Ujenzi ndipo Mimi na Mzee Mgaya tukamkumbusha na akatekeleza
Amekufa akiwa Hadaiwi 🙏🙏
Sukari imempanda baada ya vibaka kumpora CHAUMA/sufuria lake la ubwabwa maharage.Mzee wao wa ubwawa kashotka KCMC?
Lete ukweli 🐼Acha utapeli muongo mkubwa wewe.
Hizo j,k na m ungeweka neno kodi.Bado unao muda wa kujitambua.Kwa sasa naishi dar,
Sikuwa mfuasi wa JPM lkn nikipita tanzanite bridge namkumbuka JPM, nikipita Ubungo namkumbuka JPM, nikienda Kigamboni namkumbuka JPM na JK, nikipita Tazara namkumbuka JK na JPM, nikisafiri kwenda nje namkumbuka JK na JPM, nikipanda ndege namkumbuka jpm, nikiona umeme unawaka namkumbuka jpm, nikipanda sgr namkumbuka jpm, nikipanda mwendo kasi kimara namkumbuka jk na jpm, nikienda Muhimbili namkumbuka JPM,
Katika miaka minne bibi kashindwa hata kuzindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi barabara ya Mbagala,
Niambieni au nikumbusheni bibi nimkumbuke kwa lipi mimi ninaeishi Dsm?
Umeniacha njia panda kiongoziHizo j,k na m ungeweka neno kodi.Bado unao muda wa kujitambua.
Unakumbuka ulivyokuwa unalipiga vita hilo daraja na akina Erythrocyte brazaj Retired na michadema wenzakoWangekuwa na akili wangekuelewa unamaanisha nini, lakini kwa vile ndani ya hilo chama ni vichwa box watajipitia tu.
Nyaani daraja linafunguliwa Busisi kuna watu wako Tabora wanahamasishwa kuwahi malori kwenda huko na kusisitizwa "msisahau kubeba bakuli kwa ajili ya chakula" kitakuwepo cha kutosha. AIBU!
Nakupandisha mwendokasi.Wale walikuwa manyampara wasimamizi.Kodi na tozo zako na familia ndizo zilitenda miujiza hiyo.Umeniacha njia panda kiongozi
Tunaanza na wewe!!!"Masukuma tuyaache nje" 😁
Kumaliza miradi ya kimkakati aliyoanzisha mtangulizi wake, sio rahisi hata kidogo. She's done her responsibility na kwa hilo anastahili kuungwa mkono. Ujue JPM alianzisha miradi mingi sana, yaani yule jamaa alikuwa na uthubutu wa hali ya juu sana, kwa huyu maza kuisimamia yote haikuwa kazi ndogo pia.Kwa sasa naishi dar,
Sikuwa mfuasi wa JPM lkn nikipita tanzanite bridge namkumbuka JPM, nikipita Ubungo namkumbuka JPM, nikienda Kigamboni namkumbuka JPM na JK, nikipita Tazara namkumbuka JK na JPM, nikisafiri kwenda nje namkumbuka JK na JPM, nikipanda ndege namkumbuka jpm, nikiona umeme unawaka namkumbuka jpm, nikipanda sgr namkumbuka jpm, nikipanda mwendo kasi kimara namkumbuka jk na jpm, nikienda Muhimbili namkumbuka JPM,
Katika miaka minne bibi kashindwa hata kuzindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi barabara ya Mbagala,
Niambieni au nikumbusheni bibi nimkumbuke kwa lipi mimi ninaeishi Dsm?
Nikumbusheni tu