Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Magugu maji yameondolewa?

Kuna mpango endelevu wa kuyadhibiti au magugumaji pia, yanaipamba hiyo shughuli ya mboga mboga? 😲
 
Chadema na pinga pinga wengine wote wapigwe marufuku kupita darajani hapo
 
Wangekuwa na akili wangekuelewa unamaanisha nini, lakini kwa vile ndani ya hilo chama ni vichwa box watajipitia tu.
Nyaani daraja linafunguliwa Busisi kuna watu wako Tabora wanahamasishwa kuwahi malori kwenda huko na kusisitizwa "msisahau kubeba bakuli kwa ajili ya chakula" kitakuwepo cha kutosha. AIBU!
 
Acha utapeli muongo mkubwa wewe.
 
Kwa sasa naishi dar,
Sikuwa mfuasi wa JPM lkn nikipita tanzanite bridge namkumbuka JPM, nikipita Ubungo namkumbuka JPM, nikienda Kigamboni namkumbuka JPM na JK, nikipita Tazara namkumbuka JK na JPM, nikisafiri kwenda nje namkumbuka JK na JPM, nikipanda ndege namkumbuka jpm, nikiona umeme unawaka namkumbuka jpm, nikipanda sgr namkumbuka jpm, nikipanda mwendo kasi kimara namkumbuka jk na jpm, nikienda Muhimbili namkumbuka JPM,
Katika miaka minne bibi kashindwa hata kuzindua mradi wa mabasi ya mwendo kasi barabara ya Mbagala,
Niambieni au nikumbusheni bibi nimkumbuke kwa lipi mimi ninaeishi Dsm?
Nikumbusheni tu
 
Hizo j,k na m ungeweka neno kodi.Bado unao muda wa kujitambua.
 
Unakumbuka ulivyokuwa unalipiga vita hilo daraja na akina Erythrocyte brazaj Retired na michadema wenzako
 
Kumaliza miradi ya kimkakati aliyoanzisha mtangulizi wake, sio rahisi hata kidogo. She's done her responsibility na kwa hilo anastahili kuungwa mkono. Ujue JPM alianzisha miradi mingi sana, yaani yule jamaa alikuwa na uthubutu wa hali ya juu sana, kwa huyu maza kuisimamia yote haikuwa kazi ndogo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…