Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

Hili ni muhimu sana kwetu sisi watu wa "Lake Zone "
Economically
Affordability
Time Management
 
Kisesa Mungu hatawaacha kwenye miko ya wadhalimu kamwe, kazeni tu uzi na msituangushe. kwa bunge la sasa mbunge mwenye uthubutu wa kuliamsha dude ni mpina tu wengine ni kwa heri mwalimu
 
Mama Janeth Magufuli, mjane wa Hayati Rais John Magufuli, ameungana na Rais Samia kushiriki hafla ya uzinduzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) leo Juni 19, 2025.

Rais Samia akiwa mgeni rasmi, amezindua daraja hilo lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi za kilometa 1.66. Mradi huo ni sehemu ya miradi mikubwa ya kimkakati inayolenga kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla.

Your browser is not able to display this video.
 
Uzalendo o, garama za uzinduzi huo haziwezi kuwa na uhalisia mpaka mwisho wa dunia,
Fulushi la wasanii, ni nani analipa hizo garama, ni nini tunakitarget kama taifa, tungekua na uzalendo wa kweli Mbarawa angekwenda kuzindua tungeokoa mabilioni ya pesa, lkn kwa sababu hatuna uchungu na pesa za watanzania ,tunawakamua tu na kuwadanganya eti kwa vibaiskeli
AHERA TUTAISIKIA TU KWENYE VITABU
 
Ulale mahali pema kabisa #CHUMAJPM#,TUNAKUKUMBUKA KWA KUTUJENGEA HILI DARAJA
 
Ulale mahali pema kabisa #CHUMAJPM#,TUNAKUKUMBUKA KWA KUTUJENGEA HILI DARAJA
Hivi kwanini mtu akitimiza wajibu wake mnaona kafanya maajabu?
Mlidhani kaenda pale ikulu ili awe ana lala tu kitandani na mkewe?
Yaani mshahara na marupurupu makubwa apewe, ulinzi wa kutosha, privilege zote kama raia namba 1, uhakika wa maisha bora kabisa akitoka madarakani halafu asifanye mambo kwa juhudi zake zote?
Kwa nini achekewe? Kwani alikuwa na ubinamu na Mungu?
Unakuwa Rais unafanya yote yakupasayo 💯 % perfect na sio kuishia kutembea tembea hovyo na wasanii, nchi kuingiza kwenye madeni au kuzikanyaga haki za binadamu.
 
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA KABISAAA

#RIP CHUMAJPM#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…