Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Mbona watoto wengi sana hapo
Ni kama wale watoto wa miaka kumi na chini ya hapo ambao walilia sana siku Nyerere alipofariki! Japokuwa walikuwa hawapo wakati wa uongozi wake! Sababu yenyewe ni kwamba watanzania wote walikuwa na mapenzi naye. Hivyo hivyo sasa watoto na watanzania wote wanampenda Magufuli kwa kazi alizozifanya kuongoza taifa. Watoto wanaona na wanasikia, hawatabaki nyuma. Hao hao watoto ukiwauliza Lissu hawamjui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…