Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Cdm mwanza hamna Chenu aiseee. Mwanza ccm inapendwa sana aisee, kesho sijui itakuaje hapo furahisha.
 
Maneno yako ni propaganda tu. Kama Chadema hawana chao mwanza wasingepata support ile. Kajipangeni upya na propaganda zenu
 
Kwani anaposimama njiani kuzungumza na wananchi na wasanii huwa wanaimba
 
MALALAMIKO FC teh teh teh!
 
Maneno yako ni propaganda tu. Kama Chadema hawana chao mwanza wasingepata support ile. Kajipangeni upya na propaganda zenu
Kama umefuatilia leo Magufuli akiwa kisesa, igomba, national, buzuruga na mabatini nadhani jibu utakua umepata.
Tuongee ukweli. Watu walikusanyika wengi sana mkuu. Sijui hata hiyo kesho itakuaje huko furahisha.
 
Mkutano utafanyikia CCM kirumba sio furahisha tena
 
Ila mzee kwa anayopitia saivi hata akipita hatatamani kuongeza hata nukta ya miaka mingine. Hotuba zake zimekaa kinyampalaa anhekuwa na balora laribu angekuwa anacharaza watu fimbo πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€
Ole wako Ndugai na Nkamia wakusikie. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kama umefuatilia leo Magufuli akiwa kisesa, igomba, national, buzuruga na mabatini nadhani jibu utakua umepata.
Tuongee ukweli. Watu walikusanyika wengi sana mkuu. Sijui hata hiyo kesho itakuaje huko furahisha.
Siyo Furahisha ni ccm kirumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…