Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Kuelekea Septemba 7, 2020

Kama umefuatilia leo Magufuli akiwa kisesa, igomba, national, buzuruga na mabatini nadhani jibu utakua umepata.
Tuongee ukweli. Watu walikusanyika wengi sana mkuu. Sijui hata hiyo kesho itakuaje huko furahisha.
Watu wanekusanyika alafu nyuma Kuna gari la mziki la TOT???? Kajipangeni upya!!!
 
Watu wanekusanyika alafu nyuma Kuna gari la mziki la TOT???? Kajipangeni upya!!!
Mkuu Tindo angalia hii picha hapo chini. Yaani CCM wanatanguliza gari la TOT na wasanii, wanakusanya nyomi kwa ajiri ya burudani then mgombea wao ndo anakuja na msafara wake!!!

CCM wameishiwa sana mbinu kwa kweli. Yaani wanatengeneza picha kuwa mgombea wao anapendwa kumbe wanatanguliza wasanii kumkusanyia nyomi 😂😂😂😂

 
Jembe hilo
Yaani mpaka raha
Vibendera wakijipa matumaini Hewa Wataingia Ikulu
Ndoto za Mchana nikawaida kwao
Tulia wewe Rais wa nchi hii ni huyu hapa usituambie habari ya utopolo huo
 
Reactions: J C
Hapa Kazi Tu!
 
Duh, hadi mmeikumbuka JF, kweli We Got you wetting your pants down & off!😀😀
 
marketing strategy
jiandae kulia umeibiwa kura...
plus 5yrs ya kulalamika..
kinda sad[emoji2957]
Kweli ccm ni chama cha wazee, hii I'd Ni ya tokea 2013 lakini mpaka leo ina post 7 tu!


Haaa haaaaa, fiesta ya bure hiyo kesho.
 
marketing strategy
jiandae kulia umeibiwa kura...
plus 5yrs ya kulalamika..
kinda sad[emoji2957]

Sina chochote cha kuniliza, ndio maana kauli yangu ni kuwa chini ya Magufuli hakuna uchaguzi, na hiyo October ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 

picha la kutisha kama la rambo hilo
Sina chochote cha kuniliza, ndio maana kauli yangu ni kuwa chini ya Magufuli hakuna uchaguzi, na hiyo October ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Roho zinawauma sana chadomo Huu mziki hamuuwezi ! Na happy no njiani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…