#HaijapatakutokeaTUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA
🙏🇹🇿.kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze...........
Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe.
#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
Tatizo na chadema nao hupanda hayo malori, nchi ngumu sana hii.Mmesha tayarisha malori ya kusomba watu?🥱
Kwamba chadema mmejiandaa na NO ELECTION?Ushauri wangu wa bure
Kuweni makini kwenye mikusanyiko hiyo siku,sema na ndugu zako,familia Yako msije sema hamkuambiwa
Sio mwingine ni DKT SAMIA SULUHU HASAN.
“Tarehe 28 Agosti 2025, historia mpya inaanzia Kawe! Njoo wewe, njoo nasi, tujenge mustakabali wa pamoja.
Wote kwa pamoja, sauti moja, nguvu moja — Kawe inawaka moto wa mshikamano!#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze
View attachment 3453376
Siku hiyo ardhi itafunguka eneo la jukwaa kuu na kuwameza wote halafu itajifunga tena, msijesema hamkuonywa.Na mimj nitakuwepo siku hiyo. Yani mambo pambeeew
Tutafuatilia kutoka ughaibuni huku. Kila lakher.Sio mwingine ni DKT SAMIA SULUHU HASAN.
“Tarehe 28 Agosti 2025, historia mpya inaanzia Kawe! Njoo wewe, njoo nasi, tujenge mustakabali wa pamoja.
Wote kwa pamoja, sauti moja, nguvu moja — Kawe inawaka moto wa mshikamano!#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze
View attachment 3453376
Mungu yaue yote siku hiyoSio mwingine ni DKT SAMIA SULUHU HASAN.
“Tarehe 28 Agosti 2025, historia mpya inaanzia Kawe! Njoo wewe, njoo nasi, tujenge mustakabali wa pamoja.
Wote kwa pamoja, sauti moja, nguvu moja — Kawe inawaka moto wa mshikamano!#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze
View attachment 3453376
Sio kujaa tu vitafurikaaSio mwingine ni DKT SAMIA SULUHU HASAN.
“Tarehe 28 Agosti 2025, historia mpya inaanzia Kawe! Njoo wewe, njoo nasi, tujenge mustakabali wa pamoja.
Wote kwa pamoja, sauti moja, nguvu moja — Kawe inawaka moto wa mshikamano!#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze
View attachment 3453376
Ni Alhamis 28 Aug 2025_*
Tanganyika Parkers - Kawe_*
#Octobertunatick#NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
#October tunatickSiku hiyo ardhi itafunguka eneo la jukwaa kuu na kuwameza wote halafu itajifunga tena, msijesema hamkuonywa.