GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio mwingine ni DKT SAMIA SULUHU HASAN.
“Tarehe 28 Agosti 2025, historia mpya inaanzia Kawe! Njoo wewe, njoo nasi, tujenge mustakabali wa pamoja.

Wote kwa pamoja, sauti moja, nguvu moja — Kawe inawaka moto wa mshikamano!#Haijapatakutokea
#Tukawashangaze

View attachment 3453376
Watanzania wote tupo na Uzalendo wa Taifa letu
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA

🙏🇹🇿.kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze...........

Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe.

#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
I like it
 
IMG-20250827-WA0000.jpg

Habari mwana Jf,

Kuanzia sasa nitaendelea kukupa Updates zote za Uzinduzi Mkubwa wa Kampeni hapo kesho,

Uzinduzi huu utafanyikia pale Kawe Tanganyika Packers mkabala kabisa na kanisa jipya la Boniface Mwamposa.

Uzinduzi huu unakadiriwa kuwa ndio Uzinduzi wenye watu wengi pengine kuliko Uzinduzi wowote katika historia ya nchi yetu.

Karibu tuendelee kujuzana,
 
Ukimkamata Mwamposha basi umekamata ni ile misukule yake nchi nzima... watu wanatambaa na namba tu.....
 
View attachment 3454585

Habari mwana Jf,

Kuanzia sasa nitaendelea kukupa Updates zote za Uzinduzi Mkubwa wa Kampeni hapo kesho,

Uzinduzi huu utafanyikia pale Kawe Tanganyika Packers mkabala kabisa na kanisa jipya la Boniface Mwamposa.

Uzinduzi huu unakadiriwa kuwa ndio Uzinduzi wenye watu wengi pengine kuliko Uzinduzi wowote katika historia ya nchi yetu.

Karibu tuendelee kujuzana,
Sawa pesa zimetembea sana huku mtaani nauli ya kufika hapo. Watu na vikundi mbalimbali wamepigwa pesa za kutosha
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA

"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."

Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe

#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
 
Kiongozi wetu kufanya kazi kubwa sana , ikiwemo haya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa
Kufungua milango ya kidiplomasia na kurejesha imani ya jumuiya ya kimataifa kwa Tanzania.

Ziara nyingi za kikazi nje ya nchi zilizovutia uwekezaji mkubwa (marekani, ufaransa, ubelgiji, UAE, n.k).

Kupandisha hadhi ya Tanzania kimataifa kupitia mashirikiano na taasisi za kifedha za kimataifa
Uchumi na Uwekezaji
Kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji kupitia Blue Print for Regulatory Reforms.

Kuwezesha miradi mikubwa ya uwekezaji kama vile Kiwanda cha LNG (gesi asilia) na Bandari ya Bagamoyo kurudi kwenye mazungumzo.

Kukuza uchumi kupitia sekta za madini, utalii, na viwanda.
Kuimarisha mapato ya ndani kupitia TRA bila kuongeza kodi kubwa kwa wananchi.Haijapatakutokea #TukawashangazeHaijapatakutokea #Tukawashangaze
Jirani naomba tufahamiane hapa Masaki

Au posho unakula pekee yako tu
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.
 
Attachments

  • 2025-08-27-143621413.mp4
    3.8 MB
Mmeandaa malari mangapi ya kusomba watu??
Wasanii wangapi watatoa burudani, tujue mapema tujiandae show za bure!
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA

"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."

Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe

#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
 
Attachments

  • 2025-08-27-150310820.mp4
    3.8 MB
  • VID-20250827-WA0060.mp4
    3.8 MB
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.
 
Attachments

  • 2025-08-27-143239355.mp4
    3.8 MB
  • 2025-08-27-143519717.mp4

Back
Top Bottom