GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania wote tupo na Uzalendo wa Taifa letu
 
I like it
 


Habari mwana Jf,

Kuanzia sasa nitaendelea kukupa Updates zote za Uzinduzi Mkubwa wa Kampeni hapo kesho,

Uzinduzi huu utafanyikia pale Kawe Tanganyika Packers mkabala kabisa na kanisa jipya la Boniface Mwamposa.

Uzinduzi huu unakadiriwa kuwa ndio Uzinduzi wenye watu wengi pengine kuliko Uzinduzi wowote katika historia ya nchi yetu.

Karibu tuendelee kujuzana,
 
Ukimkamata Mwamposha basi umekamata ni ile misukule yake nchi nzima... watu wanatambaa na namba tu.....
 
Sawa pesa zimetembea sana huku mtaani nauli ya kufika hapo. Watu na vikundi mbalimbali wamepigwa pesa za kutosha
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA

"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."

Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe

#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
 
Jirani naomba tufahamiane hapa Masaki

Au posho unakula pekee yako tu
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.
 

Attachments

  • 2025-08-27-143621413.mp4
    3.8 MB
Mmeandaa malari mangapi ya kusomba watu??
Wasanii wangapi watatoa burudani, tujue mapema tujiandae show za bure!
 
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA

"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."

Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe

#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
 

Attachments

  • 2025-08-27-150310820.mp4
    3.8 MB
  • VID-20250827-WA0060.mp4
    3.8 MB
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA#Haijapatakutokea #Tukawashangaze🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿 viwaja ni KAWE.
 

Attachments

  • 2025-08-27-143239355.mp4
    3.8 MB
  • 2025-08-27-143519717.mp4
    3.8 MB
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…