GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haijapata kutokea umati mkubwa wa wanachi kujitokeza kwenda kushiriki uzinduzi wa kampeni za ccm kitaifa ambao umefanyikia uwanja wa Tanganyika packers kawe. #haijapatakutokea #tukawashangaze
 
Hii haijawahi kutokea.
 

Attachments

  • GzbzdGfW4AAD-DO.jpeg
    189.1 KB · Views: 25
  • GzbzdEbW8AA7tuQ (1).jpeg
    190.7 KB · Views: 24
  • GzbzdCYWMAAom-0.jpeg
    127.3 KB · Views: 31
  • GzbzdEbW8AA7tuQ.jpeg
    190.7 KB · Views: 26
Mnalazimisha wamachinga wafunge ili muwasombe kwenda Kawe wakati wenzenu wanaganga njaa
 
MICHADEMA INAONA WIVU BALAA LEO YAAANI IMEISHIWA POZI SHENZIIIIIIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…