Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Huu ni uzinduzi wa kihistoria, tunachosubiri ni kumuapisha Rais Mteule Hussein Ally Mwinyi.
 
Saivi ni mwendo wa kuwaacha na kuwapiga chini wagombea wote wenye dalili za usaliti. Piga chini Lissu, piga chini Maalim seif na wengine wote akina Lissu
 
Ulichosema ni sahihi na sana anaepinga anaweza kua na dalili za mbili ya uchawi au ugaidi!!!
Kabisa. Mwinyi ndio Rais wetu Zanzibar



Chagua CCM
Chagua Dr. Hussein Mwinyi
Chagua Magufuli
#Anakubalika
#MtuWaWatu
#YajayoNineemaTu
#KuraYaNdiyoKwaMwinyi
#KuraYaNdiyoKwaMagufuli
#Mwinyi2020[emoji736]
#TwendeNaMwinyi
@ccm_tanzania
@hpolepole
@SuluhuSamia
@DrHmwinyi
@MagufuliJP
 
Its true
 
Yaan Dkr. Mwinyi ni balaaaa kahaidi kuto wafumbia macho wale wote watako kua wabadhilifu, wala rushwa na wazembe kazini, hakuna kufanya kazi kwa mazoea
 
Dkt. Mwinyi kaongea kisayansi yaani kagusa mambo kumi yaliyo fanyika na kumi yatakayo fanyika its verry short , clear and aplicable (persuasive speach)

Kaongea mambo yote ya msingi wanayotaka wa zanzibar kwa umakini sana na kwa kumaanisha,hakika CCM haijakosea kumchagua Dkt Hussein
 
Daah mmetia huruma uzi mzima ninyi tu mnaweka comment 10 10 bwahahahahahahaha!
Mbona hujiamini?
Unaogopa?
Ulifkiri humu utakuta watu wasiojielewa kam ww?
Umechelewa ndugu yang, watu washachoka na siasa za uongo za wapinzani!
 
picha zinaongea zenyewe hizi jamani

"Kwenye suala la ajira, Ilani yetu imeelekeza. Tutahakikisha tunatoa ajira Laki 3 kwenye sekta rasmi na zisizo rasmi kwa vijana wa Zanzibar." Dkt Mwinyi Kutoka Zanzibar.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…