Makani_evarist
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 192
- 136
Wengi wao ni wazanzibari. Wewe kwa akiri yako fingu Hawa wote wametoka bara?????Wanachama kwenye picha wengi wao hawaonyeshi kama ni wazanzibari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao ni wazanzibari. Wewe kwa akiri yako fingu Hawa wote wametoka bara?????Wanachama kwenye picha wengi wao hawaonyeshi kama ni wazanzibari.
Huu ni uzinduzi wa kihistoria, tunachosubiri ni kumuapisha Rais Mteule Hussein Ally Mwinyi.Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.
Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;
Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole
facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM
Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania
Instagram: @ccmtanzania
#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020
View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.
View attachment 1567322
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa njiani kuelekea katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti kushuhudia uzinduzi wa Kampeni
FUATILIA MATANGAZO MUBASHARA KUPITIA LINK HII;
Saivi ni mwendo wa kuwaacha na kuwapiga chini wagombea wote wenye dalili za usaliti. Piga chini Lissu, piga chini Maalim seif na wengine wote akina LissuKwa hakika kila jambo na wakati wake ule wakati ambao watanzania waliusubiri ili waweze kufanya maamuzi yao ya kuwachagua viongozi wenye hoja madhubuti na kuwaacha vibaraka na wasaliti wa nchi ndio huu sasa.Hivi tunawezaje kumchagua mtu ambae ana hubiri uvunjifu wa amani kwa taifa letu ana hubiri wazi wazi juu ya kuuvunja muungano wetu .hili naamini watanzania hawatafanya makosa ikifika tarehe 10/09/2020. Watamchagua Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri na Dr.Husein Ally Mwinyi Rais wa Zanzibari.
Ulichosema ni sahihi na sana anaepinga anaweza kua na dalili za mbili ya uchawi au ugaidi!!!Mwinyi amepita Zanzibar tena kwa kishindo kikubwa mno
Hakika mwinyi unakubalika ukweli tu useme kweupe
Kwa kweli tunasubili Mwinyi kuapishwa tuHuu ni uzinduzi wa kihistoria, tunachosubiri ni kumuapisha Rais Mteule Hussein Ally Mwinyi.
Kabisa. Mwinyi ndio Rais wetu ZanzibarUlichosema ni sahihi na sana anaepinga anaweza kua na dalili za mbili ya uchawi au ugaidi!!!
Na wewe unawasemea wanzanzibar waache wafanye kile wanapendaMapenzi ya wazanzibari ni maalif hali Seif tangu 2000
Its trueKabisa. Mwinyi ndio Rais wetu Zanzibar
Chagua CCM
Chagua Dr. Hussein Mwinyi
Chagua Magufuli
#Anakubalika
#MtuWaWatu
#YajayoNineemaTu
#KuraYaNdiyoKwaMwinyi
#KuraYaNdiyoKwaMagufuli
#Mwinyi2020[emoji736]
#TwendeNaMwinyi
@ccm_tanzania
@hpolepole
@SuluhuSamia
@DrHmwinyi
@MagufuliJP
Kwa mihemko yako unahisi atapata kura ngapi?Huyo Hussein Mwinyi sijui kama atapata kura hata 3000 .
Dkt. Mwinyi kaongea kisayansi yaani kagusa mambo kumi yaliyo fanyika na kumi yatakayo fanyika its verry short , clear and aplicable (persuasive speach)
Za kuwaambia wazanzibari kuwa walichotutuma kufanya tumetekeleza..
Mbona hujiamini?Daah mmetia huruma uzi mzima ninyi tu mnaweka comment 10 10 bwahahahahahahaha!