Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Zanzibar ya Kijani
 

Kijana hapa nina wajukuu wangu zaidi ya 10 wamemaliza vyuo hawana kazi , Hivi hukumsikia yule Waziri aliyewaambia wale vijana waliorudi China hivi karibuni kuwa serikali haina ajira kwa hivyo wawaombe wafanya biashara wawatafutie kazi japo za kuwa mkalimani wao ??. Yaani serikali imewapeleka china kuchuuwa Masters hata planning hawana vijana wamerudi , ajira hazipo.

Mtoto fanya haraka urudi kwa babayako Chato hapa tumeshawachoka wavamizi . Mnaotishia kuuwa ni nyinyi mnaotujazia majeshi , kambi kila mtaa .Mwaka huu mtakiona.
 
Wewe utakua mzazi usiekuwa na exposure, yaani unamchukua mtoto wako unampeleka China kwa ajili ya kwenda kujifunza kichina miaka mitatu

Hiyo ada na nauli Kwanini usingeanzisha kiwanda kidogo mkatengeneza uchumi?

Jeshi ni kwa ajili ya amani ya Nchi, ila km nyie ni vibaka jeshi litawashughulikia
 
Ni mwenye UFINYU wa akili tu anayeweza kupoteza kura yake.



Ni kweli kwani asiye na akili atampa kura mwizi anayejijengea uwanja wa ndege nyumbani kwake na akaanzisha mbuga na kujenga mahoteli yake kwao kwa kuchota pesa za serikali.
 
Reactions: BAK
Wewe utakua mzazi usiekuwa na exposure, yaani unamchukua mtoto wako unampeleka China kwa ajili ya kwenda kujifunza kichina miaka mitatu...
Wewe utakuwa mtoto wa wakubwa . Hivi hata unachokiandika unakijua? vijana mumewapeleka kusoma mambo ya uchumi na uhandisi unaniambia nimewapeleka watoto China?
 

Hussein Mwinyi atashindwa mapema tokea saa 5 asubuhi. trust me. labda aokolewe na Jecha version 2
 
Airport terminal ndogo tu, mpaka sasa miaka 11 kama sijakosea wameshindwa kuimaliza! unataka kutwambia nini? Mji mchafu umejaa barabara mbovu mpaka Majaaliwa mwenyewe kawaumbua!

Imejengwa Michenzani Mall Balozi Seif Ali iddi anakwambia watu watakuwa hawaendi dubai tena watakwenda kwenye Mall, akili matope hayo?

CCM walivo mazombie na wao wameamini kwa majengo mawele yaliojengwa basi Zanzibar imekuwa dubai walioahidi! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Subiri uone kishindo cha Maalim atakavowaumbua.
 
Zanzibar ni tunaenda na Hussein, Maalim atatusamehe.
siasa za Zanzibar hazikuhusu wewe bwege... kwani wewe mzanzibar? Hussein ni mgeni tu kama wewe huku Zanzibar atarudi tu huko Tanganyika. Wazanzibari tunahitaji dola ya nchi yetu kwanza sio siasa za ccm tena
 
Mwinyi ni chaguo la Wanzanzibar, hakika anakwenda kutenda mema zaidi
mwinyi sio chaguo la wazanzibari ni chaguo la CCM Dodoma tu ndio waliotufikisha hapa mwinyi ni mgeni tu Zanzibar na wala hajawahi kuishi Zanzibar.

Wazanzibari tunapigania dola ya nchi yetu ndio lengo letu kubwa nasi kuusaliti uzanzibari na dola ya nchi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…