Makani_evarist
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 192
- 136
Chagua MwinyiChagua CCM
Chagua Mwinyi
Chagua Magufuli
Chagua Magufuli
Chagua CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua MwinyiChagua CCM
Chagua Mwinyi
Chagua Magufuli
Chagua MwinyiIla huyu dhalimu ndiye anastahili kuwa Rais.
Zanzibar ya KijaniChama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar...
Ajira zinatolewa kila uchwao tuma CV acha kulalamika chukua hatua
Hayo mahospitali unakotibiwa, mabarabara ya lami unakopita, unakotembea kwa amani bila bugdha jua ni serkali inawajibika
Unatishia kuua? Kijana nakushauri Rudi kwenu oman kabisa, Tanzania hakuna hiyo nafasi
Kijana hapa nina wajukuu wangu zaidi ya 10 wamemaliza vyuo hawana kazi , Hivi hukumsikia yule Waziri aliyewaambia wale vijana waliorudi China hivi karibuni kuwa serikali haina ajira kwa hivyo wawaombe wafanya biashara wawatafutie kazi japo za kuwa mkalimani wao ??. Yaani serikali imewapeleka china kuchuuwa Masters hata planning hawana vijana wamerudi , ajira hazipo.
Mtoto fanya haraka urudi kwa babayako Chato hapa tumeshawachoka wavamizi . Mnaotishia kuuwa ni nyinyi mnaotujazia majeshi , kambi kila mtaa .Mwaka huu mtakiona.
Zanzibar ya Kijani
Ni mwenye UFINYU wa akili tu anayeweza kupoteza kura yake.
Wewe utakuwa mtoto wa wakubwa . Hivi hata unachokiandika unakijua? vijana mumewapeleka kusoma mambo ya uchumi na uhandisi unaniambia nimewapeleka watoto China?Wewe utakua mzazi usiekuwa na exposure, yaani unamchukua mtoto wako unampeleka China kwa ajili ya kwenda kujifunza kichina miaka mitatu...
Mnasubiri wewe na nani ?Kwa kweli tunasubili Mwinyi kuapishwa tu
Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
Airport terminal ndogo tu, mpaka sasa miaka 11 kama sijakosea wameshindwa kuimaliza! unataka kutwambia nini? Mji mchafu umejaa barabara mbovu mpaka Majaaliwa mwenyewe kawaumbua!Hatutaacha kuwakumbusha ninyi pamoja na viongozi wenu kuwa propaganda hazikupi kura ila sera, umemsikia Dr. Mwinyi akizungumza propaganda yoyote leo? yuko very straight na sera zake na mikakati, sasa tutege sikio kesho, yaani upinzani wa bongo ni wa hovyo walopokaji wengi
Are you serious? unapoteza muda tu kaka. pole sana . huyo candidate sio chaguo la wazenj. hawezi akaketea kuachiwa kwa UAMSHO, hawezi akakateta maslahi ya znz ndani ya ukoloni wa tanganyika.Chagua Mwinyi
Chagua MwinyiView attachment 1567955
Zanzibar hakuna CCM...hao kwa makisio ya haraka haraka robo tatu ni wa kuja tu! Mbali wafanyakazi wanaolazimishwa.Wengi wao ni wazanzibari. Wewe kwa akiri yako fingu Hawa wote wametoka bara????? View attachment 1567820
siasa za Zanzibar hazikuhusu wewe bwege... kwani wewe mzanzibar? Hussein ni mgeni tu kama wewe huku Zanzibar atarudi tu huko Tanganyika. Wazanzibari tunahitaji dola ya nchi yetu kwanza sio siasa za ccm tenaZanzibar ni tunaenda na Hussein, Maalim atatusamehe.
mwinyi sio chaguo la wazanzibari ni chaguo la CCM Dodoma tu ndio waliotufikisha hapa mwinyi ni mgeni tu Zanzibar na wala hajawahi kuishi Zanzibar.Mwinyi ni chaguo la Wanzanzibar, hakika anakwenda kutenda mema zaidi
Unaishi Buza kwa mpalange mambo ya Zanzibar yanakuhusu niniZanzibar ni tunaenda na Hussein, Maalim atatusamehe.