Sami Omary Khamis
Member
- Sep 8, 2020
- 67
- 133
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARMchakato wa kumpata mgombea ulianzia Zanzibar, sasa leo hii unasema wanapelekewa kwa minadhiri gani
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARDr. Mwinyi ni bingwa wa maradhi ya mwanadam, kasoma kabobea na anauwezo mkubwa sana
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARKwa uzinduzi huu, Mzee Seif anastaafishwa siasa Zanzibar. Dr. Mwinyi ni muadilifu, mzalendo na kiongozi mwenye weledi.
We hukielewi kabisa.Mapenzi ya wazanzibari ni maalif hali Seif tangu 2000
Chagua CCMTunaimani na Dkt Mwinyi,Tunasonga mbele na CCM,Maalim akalee wajukuu Siasa hawezi analeta chokochoko tu.
Chagua CCMHakika wazanzibar wameamua, Dr. Hussein Mwinyi na Chama Cha Mapinduzi kitashinda kwa kishindo Zanzibar.
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARMWINYI kazaliwa MKURANGA, hajawahi kuishi ZANZIBAR.
Hatuwezi kutawaliwa na Rais kutoka Bara.
hana mvuto, hajui kuongea na hapendwi.
Sisi tupo na Maalim SEif
Ccm ni cha imara watu wanakwenda wenyewe bila kuvutwa wala kusukumwaHawa jamaa hawaaminiki; wasije wakawavisha watoto wetu ma dira ya CCM ili kwenda kujaza uwanja...
Hili tunaliangalia kwa karibu sana maana ni ukiukaji mkubwa wa haki za mtoto.
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARWanaosombwa na mabasi pia wanasafirishwa kama mizigo ulimsikiliza Mama Maria Nyerere kule Mara??
Hivi kwa umri alionao mzee maalim seif anawaambia watu wajiandae kwa ajili ya kupigana yeye anaweza kupigana na nani?Hahaha nyie jamaa ni wa hovyo subirini trh 15
Haha ha, CCM wameshakosa uaminifu kwa wananchi...kinachofanyika ni utemi ... kutumia Police, NEC, Usalama wa taifa na hata majeshi...Ccm ni cha imara watu wanakwenda wenyewe bila kuvutwa wala kusukumwa
Ni Neema tupu kwa wazanzibariUZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia link hizi hapa chini..
YouTube
https://www.facebook.com/
Hebu tuoneshe mtoto wako yuko wap hapo?Hawa jamaa hawaaminiki; wasije wakawavisha watoto wetu ma dira ya CCM ili kwenda kujaza uwanja...
Hili tunaliangalia kwa karibu sana maana ni ukiukaji mkubwa wa haki za mtoto.
Ww wasemaCCM haijawahi kushinda zanzibar..hili kila mtanzania makini analijua.