Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Uzinduzi mahili uliojaa sera nzuri na matumaini mapya ya wa zanzibar na Tanzania kwa ujumla ni mshikamano mkubwa wenye matumaini Bora CCM itashinda zanzibar kwa asilimia kubwa
 
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 15.59.49.jpeg
    113.9 KB · Views: 2
Uchaguzi wa Zanzibar ni atakae shinda Pemba ndio mshindi, ni mbinu ambayo Maalim Seif amekuwa akiitumia miaka mingi na haijawahi na sidhani kama mwaka huu itamuangusha, pia kwa kupitia mgeni huyu Dr Huseni Mwinyi.
 
Nimemsikiliza vizuri Dkt A.M.SHEIN ameeleza kwa uzuri sana vilevile amewakumbusha wazanzibari kuhusu mapinduzi sitaki kwenda mbali sana nataka na Mimi niendelee kusisitiza jambo au sifa za mgombea URaisi kwa upande wa zanzibari ,, wakati ameteuliwa nilijaribu kufanya uchunguzi kuhusu mgombea huyu na kukuta ni mtu safi ambaye hana skendo yoyote,,,ni mstaarabu wazanzibar wasio itakia mema nchi yetu kama maalimu seif hapaswi kua kiongozi[emoji1241]
 
Uchaguzi wa Zanzibar ni atakae shinda Pemba ndio mshindi, ni mbinu ambayo Maalim Seif amekuwa akiitumia miaka mingi na haijawahi na sidhani kama mwaka huu itamuangusha, pia kwa kupitia mgeni huyu Dr Huseni Mwinyi.

Dkt Hussein sio mgeni wa siasa ila kwa sasa yupo kwenye level ya juu zaidi.
Maalim hana jipya sana zaidi ya vurugu na uzoefu wake ni wa vurugu na sio siasa.
Maalim amezoea kushindwa hana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…