BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Kwakweli Jaman CCM hii ni hatari Sana Yan watu wamejaaa hatari. Hapa Kazii Tu hakuna Kama hiki chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua CCMWatu wamejaa Sana na nko LIVE hapa nafaidi tuView attachment 1567594
Haiwezi tokea icho kitu ccm ina watu makiniLakini utambue kua vita italetwa na sisiemu wenyewe
Kabisa yaani hadi RahaKampeni za Kistaarabu Sana za CCM
Hivi kwa umri alionao mzee maalim seif anawaambia watu wajiandae kwa ajili ya kupigana yeye anaweza kupigana na nani?
Au ndio anataka kutoa wazanzibari kafara?
Hajawa raisi anawaambia watu wajiandae kuvuruga amani ya nchi, akiwa raisi itakuwaje?
Kimsingi mpaka hapo ameshapoyeza sifa zote za kuwa raisi wa Zanzibar.
Dr. Mwinyi ndiye anyestahili kuwa raisi wa Zanzibar.
Ni mpole,
Ni mstahimilivu
Hana kasoro yoyote
Seif anamadeni kibao 150m kabla hajawa raisi akiwa raisi sindo atakopa mpaka nchi ishindwe kuyalipa baadae
Huku Zanzibar tunamuelewa sana Mwinyi kuliko chochote
Uchaguzi wa Zanzibar ni atakae shinda Pemba ndio mshindi, ni mbinu ambayo Maalim Seif amekuwa akiitumia miaka mingi na haijawahi na sidhani kama mwaka huu itamuangusha, pia kwa kupitia mgeni huyu Dr Huseni Mwinyi.
Kwanini wote wana sare za ccm?