Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.
Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;
Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole
facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM
Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania
Instagram: @ccmtanzania
#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020
View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.
View attachment 1567322
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa njiani kuelekea katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti kushuhudia uzinduzi wa Kampeni
FUATILIA MATANGAZO MUBASHARA KUPITIA LINK HII;
Rais Makini kimbilio la wanyongeHapana kwa kweli, hao jamaa HAKUNA haja kuwaomba radhi. Watu matusi eti uhanith Sasa Basi. Huyo wa kuomba radhi kweli? Acha tutimize wajibu wetu ambao ni haki kisheria.
Hii si sababu wala usidhani kuwa utaweka uzito kwa kusema ni mjumbe, usitumie mgongo wa mwingine kutoa mawazo yako.Mwinyi anakwenda kushinda uchaguzi huu ikiwa maadili, uchapakazi na hekima ndizo silaa kubwaMimi ni mjumbe wa ccm Zanzibar, kiukwwli bila kufikicha maneno Dr H Mwinyi wengi hatumtaki na kutoboa kwake kunategemea mbeleko ya ZEC
kwa Chama gan kinachoweza kuing'oa CCM Zanzibar?Zanzibar ni mfano mzuri wa CCM wakiachiwa nchi, hakuna muijiza utafanyika na Watarudi tena na ahadi za nchi ya asali.
Kama aisingelikuwa anachochea mchafuko wa amani Basi angekuwa na mapenzi mema na nchi hii, lakini kwa jinsi alivyoanza Mimi nilkuwa namkubali ila mpaka Sasa nimeshamtoa kwenye chati ya watu wenye sifa za kuwa raisi wa TanzaniaMwinyi ni chaguo la Wanzanzibar, hakika anakwenda kutenda mema zaidi
Wewe kumbe haupo tofauti na mbuzi au kondoo. Ivi kweli kwa akili zako mtu unaweza sombwa na Magari Wana CCM tunakuja kwa utashi wetu na kwa kuwa tunawapenda viongozi wetuWanaosombwa na mabasi pia wanasafirishwa kama mizigo ulimsikiliza Mama Maria Nyerere kule Mara??
HoyeeeCcm hoyeeeee!
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARMbn kama umekua msemaji wa wa zanzibar walio wengi?
KbsaWazanzibar tumejiandaa kushangilia ushindi wa Dr. Mwinyi, Maalim Seif siyo chaguo sahihi kwa siasa za sasa za visiwani
UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBARMchakato wa kumpata mgombea ulianzia Zanzibar, sasa leo hii unasema wanapelekewa kwa minadhiri gani
CCM safiiiHoyeee
Ety unasombwa Mbuzi wewe.sawa mkuu ila picha zitatembea tu siku hizi sio enzi za kale